Bangi ni mbaya sana

Bangi ni mbaya sana

Vunga
 

Attachments

  • vunga hii chuga.jpg
    vunga hii chuga.jpg
    25.2 KB · Views: 23
Write your reply...nilitaka nikumbatie kwa mbele Lori la mafuta kampuni ya GBP lilikuwa linakuja kasi bila wasamaria wema nngekuwa ahera madukani
 
Hata kwa hela hii kitu sitii mdomoni mwangu, nakijua kichwa changu na bd nakumbuka kilichomtokea jamaa yangu baada ya kutest.

Ila nimegundu JF kuna fyatu wengi sanaa,
Mods humu wakisema watembeze ban kwa kila kosa watabaki wenyewe
 

Attachments

  • 20190217_092402.jpeg
    20190217_092402.jpeg
    63.9 KB · Views: 21
Bangi jaman mmea wa ajabu sana nilijalibu kuivuta kiukweli kunavitu nimevigundua kumbe kwa akili ya kawaida huwezi kuvijua kunavitu kabisa inakuonesha ambavyo ukiwa ktk hali ya kawaida huwezi kuvijua kwa uelewa wetu wa kawaida huwezi jua sema inakufanya kujitenga na nimegundua kumbe ndio maana inazuiliwa kutumiwa coz unakua muelewa automatically afu inakuletea fikra + sema inahitaji brain ya kustahimili mikikimikiki yake
Safi kabisa kwa kuchagua dini ya haki ya wavuta bangi
 
Haaahaaa sunajua kabla hujaivuta tayari akili inatambua kua haitakiwi au ni halam sasa hata ukisha ivuta inakukontrol sana ktk hilo wale wanao data inatakiwa aiache haimfai kwanza bange inahitaji uwe na lishe nzuri asa watu wengi wanao data unakuta hawana lishe asa uvute bangi afu lishe hakuna unatarajia nn, afu inahiyaji uivute ukiwa umetulia haupo kwenye msongamano
Yeah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara paaaap..Research WHO..imegundulika Uvutaji wa Bangi unaongeza Nguvu za Kiume..God help us....😂😂😂😂😂
 
Haya Explain kwanini ukivuta bangi unakaa juu ya TV halafu unaangalia masofa?!
 
Back
Top Bottom