Bangi yenye thamani ya Ksh6m (Tsh138m) yakamatwa Kenya ikitokea Tanzania

Bangi yenye thamani ya Ksh6m (Tsh138m) yakamatwa Kenya ikitokea Tanzania

Kenya hii si Hatari kama huku Tanzania
Bangi haina uzito mkubwa kama Tanzania
Pongezi kwa hao walio wakamata
lakini nijuavyo mie
ukiona hao wamekamatwa ujue kuna matani na matani yamepita
 
Kenya hii si Hatari kama huku Tanzania
Bangi haina uzito mkubwa kama Tanzania
Pongezi kwa hao walio wakamata
lakini nijuavyo mie
ukiona hao wamekamatwa ujue kuna matani na matani yamepita

Hayo matani yanapita maana mnakuza huko Tanzania, halafu badala ya kupigana na walaguzi mnaishia vioja na vituko. Mliishia kutaja taja watu kiholela, mara Gwajima, mara Wema mara Mbowe, huku mkivamia Clouds media halafu waziri Nape kuhoji mnamtupia nje kwa bastola.
Vita dhidi ya madawa ya kulenya uhitaji mchakato uliopangwa kimikakati, sio mihemko ya kihivyo.
 
Hapa Kazi Tu

Nayo Ni kazi Kama Kazi Nyingine

Pigeni kazi Vijana

Kichwa cha Mwendawazimu

Acha wajifunze Kunyoa!

Kwa hali iliyopo sasa,

Bora vijana wavute bangi,

Kuliko waamue KUIBADILI HALI

Just Timing!
It's not her even then name says it all
 
Hayo matani yanapita maana mnakuza huko Tanzania, halafu badala ya kupigana na walaguzi mnaishia vioja na vituko. Mliishia kutaja taja watu kiholela, mara Gwajima, mara Wema mara Mbowe, huku mkivamia Clouds media halafu waziri Nape kuhoji mnamtupia nje kwa bastola.
Vita dhidi ya madawa ya kulenya uhitaji mchakato uliopangwa kimikakati, sio mihemko ya kihivyo.

Du!!
Shida yako wewe ni kuchanganya Mada
unazungumzia hili unaleta lile
sasa nianze kukujibu vipi hapo!!
Mambo ya Nape sijui Clouds
Na madawa tena!!
Unajua hali ilivyo sasa Tanzania kutokana na hilo!!
Kuthubutu sikuzote ni bora kuliko kushindwa kabisa,
Ongea na Mateja mtaani ndio watakuambia Hali ilivyo sasa!!
Wacha kusikiliza hao wanasiasa
 
Hayo matani yanapita maana mnakuza huko Tanzania, halafu badala ya kupigana na walaguzi mnaishia vioja na vituko. Mliishia kutaja taja watu kiholela, mara Gwajima, mara Wema mara Mbowe, huku mkivamia Clouds media halafu waziri Nape kuhoji mnamtupia nje kwa bastola.
Vita dhidi ya madawa ya kulenya uhitaji mchakato uliopangwa kimikakati, sio mihemko ya kihivyo.
Watz wanazalisha hii kitu sababu kuna merket ya uhakika huko Kenya.
 
Hivi thamani ya Bhangi inapatikana wapi?
Wanatumia Street price
Avarage price ya kete moja ya bangi(good quality) ni tsh 500

Bei ya gunia moja shamba ni 250-300k
Hizo ni price za tanzania ikiwa trafficed nje bei inapanda zaidi
Marekani avarage price yangood quality weed ni 3000$ per kilogram,kenya sina uzoefu nako sijui bei zikoje
 
Nashangaa wajasiriamali kuingia risk kusafirisha hayo majani nje ilhali ipo high demand ya high grade kush hapahapa nyumbani,hususani dar es salaam,kuna mageuzi makubwa yanahitajika kufanywa katika packaging,pricing na marketing,na logistics nyengine.huwezi kusafirisha bidhaa haramu kizembe hivyo
 
Mti msafi..... Nashuku Moses alivuta moshi ndo akaona burning bush!
Those ancient jews must've bn taking more powerful stuff than that-o! Magic mushrooms, opium; afterwards they were seeing wonders!
 
Back
Top Bottom