CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
charminglady are you, you?
haina madhara tumia tu,serikali wanaipiga marufuku ili kukilinda kiwanda cha sigara maana wao wanatoa kodi bangi hailipii kodi
Heeh
Tumekupoteza,haki vile!
Hamuwezi kunipoteza, ntakuwa navuta kidogo kidogo mamie... Jamani natamani eti lolest!!!!
Nipo zangu hapa kijiweni napiga pafu la 16. Hii kitu imetulia sana, nikiingia hadi wana appriciate. charminglady bugia tu!
Hehee
Ushasema bangi nibangue nini!! unajiona upo new york city!!
Hoyeeee.
Aisee ni tamu sana. Haina hangover, pia haina harufu mbaya kama sigara. I dont know about others but mie nikipiga hii makitu nikiwa bwax inakata naanza upya. Umenikumbusha mbali.
Ngoja nikurudi Dar nitaangalia kammea kangu ka bange bado kapo ama baba toto amekabamba.