CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
- Thread starter
-
- #41
hahahaaa!!sisy karibu sana
kwny ulimwengu wa raha,
gushi haina madhara,nikutumie cha arusha ujaribu????
we tuma tu maana mdogo angu kobun anashida naohahahaaa!!sisy karibu sana
kwny ulimwengu wa raha,
gushi haina madhara,nikutumie cha arusha ujaribu????
We si ulisema umeacha wee? Kweli once a con...
We si ulisema umeacha wee? Kweli once a con...
Soon as my baby stops suckling, am back.
Pass the puff Don!
charminglady uko sawa?
Niko sawa mamie... Ujue huwa kuna vitu mtu anatamani ila anashindwa kuvifanya. Miongoni mwa vitu ambavyo mie natamani kuvifanya kimojawapo ni hiko!!!
Lemme obey my thirst....
aiseeeeeehahahaaa!!sisy karibu sana
kwny ulimwengu wa raha,
gushi haina madhara,nikutumie cha arusha ujaribu????
we vuta tu zinaongeza ny.ge kwa mabinti
Chambua kitu toa mbegu na vimiti miti (bushabu), chkua zigi (Rizla), kata kali (nyox) kidogo, nyonga vuta Tetrahydrocannabinol yako!
Mh mi najua moja tu ukianza huachi,
mbegu zina raha yake kale kamlio kanakotoka ikiungua kana stimu balaa soo mbegu azitolewi...
Ni nzuri saaana inaleta conciousness sana lakini uliza kwenye ukoo wenu kama wanavuta kuna koo zingine ilipigwa marufuku ukivuta tu gari linawaka afu watu wanasema bangi imewaheusha kumbe ni mila zao
mmmmmmhUkoo wetu wanavuta sana... Uncle angu akiwa kiongozi. Pia sisy angu mmoja wa ukoo naye yumogo!!! Haaaaaahhaaaa... Bangi nibangue nisahau stress hizi jamani lol........