Bangi...

Bangi...

Niko sawa mamie... Ujue huwa kuna vitu mtu anatamani ila anashindwa kuvifanya. Miongoni mwa vitu ambavyo mie natamani kuvifanya kimojawapo ni hiko!!!

Lemme obey my thirst....
 
Last edited by a moderator:
Binti una hatari weweee......
Haya bana yangu macho nakuangalia tu...!
 
Niko sawa mamie... Ujue huwa kuna vitu mtu anatamani ila anashindwa kuvifanya. Miongoni mwa vitu ambavyo mie natamani kuvifanya kimojawapo ni hiko!!!

Lemme obey my thirst....

We msichana weeee, bangi waijua vizuri au???????
 
habari ya long weekeend wadau...

Naulisa hiviiii.... Bangi ina madhara gani? i wish siku moja niijaribu walau pafu kadhaa. Pia nasikia haiumizi mapafu kama sigara....

Asante kwa mchango wako....

Bangi hoyeee....... :bange: :bange:

C.c. karucee, sakapal

objectiooooon.
 
Last edited by a moderator:
Chambua kitu toa mbegu na vimiti miti (bushabu), chkua zigi (Rizla), kata kali (nyox) kidogo, nyonga vuta Tetrahydrocannabinol yako!

mbegu zina raha yake kale kamlio kanakotoka ikiungua kana stimu balaa soo mbegu azitolewi...
 
Habari ya long weekeend wadau...

Naulisa hiviiii.... Bangi ina madhara gani? I wish siku moja niijaribu walau pafu kadhaa. Pia nasikia haiumizi mapafu kama sigara....

Asante kwa mchango wako....

Bangi hoyeee....... :bange: :bange:

C.C. Karucee, sakapal

Ni nzuri saaana inaleta conciousness sana lakini uliza kwenye ukoo wenu kama wanavuta kuna koo zingine ilipigwa marufuku ukivuta tu gari linawaka afu watu wanasema bangi imewaheusha kumbe ni mila zao
 
Last edited by a moderator:
Ni nzuri saaana inaleta conciousness sana lakini uliza kwenye ukoo wenu kama wanavuta kuna koo zingine ilipigwa marufuku ukivuta tu gari linawaka afu watu wanasema bangi imewaheusha kumbe ni mila zao

Ukoo wetu wanavuta sana... Uncle angu akiwa kiongozi. Pia sisy angu mmoja wa ukoo naye yumogo!!! Haaaaaahhaaaa... Bangi nibangue nisahau stress hizi jamani lol........
 
Ukoo wetu wanavuta sana... Uncle angu akiwa kiongozi. Pia sisy angu mmoja wa ukoo naye yumogo!!! Haaaaaahhaaaa... Bangi nibangue nisahau stress hizi jamani lol........
mmmmmmh
 
Back
Top Bottom