nico winto
Member
- Jul 2, 2017
- 34
- 27
Hivi hizi bangili za kimasai wanazosemaga zina uwezo wa kukulinda na hatari au ukapita mahali popote bila kuguswa Kuna ukweli wowote hapo. Nasikia hata madereva wanapendaga sana kuzivaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vitu vingine ni vizuri kujilipua kimya kimya tuHivi hizi bangili za kimasai wanazosemaga zina uwezo wa kukulinda na hatari au ukapita mahali popote bila kuguswa Kuna ukweli wowote hapo. Nasikia hata madereva wanapendaga sana kuzivaa
Kuna wazee wa kimasai ukiwapelekea wanazinenea na wakikurudishia inafanya hivyo.
Hata watoto wao huko mbugani inawasaidia sana kujikinga na wanyama wakali kwasababu wengi wao hawana kinga sijui ya kuombewa au imani katika dini yoyote.
[/Q NI mpaka wazinenee. Kwa hiyo ukinunua unaenda kwa wazee wakimasai wakaongezee nguvu. Kwa hiyo nikienda manyara porini mambo fresh.
Kwenye maboma yao tu...simanjiro, Longido, ngorongoro etcKwa hiyo NI mpaka wazinenee la sivyo butu na hao wazee wakimasai wanapatikana wapi?