Bangladesh yapiga pini meli za Urusi; Urusi inaendelea kutengwa na dunia

Bangladesh yapiga pini meli za Urusi; Urusi inaendelea kutengwa na dunia

ukisha wekewa vikwanzo kazi ya USA ni rahisi sana anachungulia kwenye rada akiona meli ya russia ipo sehem flan kazi yake hua fupi tu. anasema haya we bangladesh kamata io mbwa iweke pini hadi nije.

hakuna cha ooh. mshirika ooh nini sjui.
Kama haujipendi jaribu kukamata meri ya Russia 🤣🤣🤣

Hao Greece kwa kutaka sifa walijaribu kukamata meri ya iran na kupakuwa mafuta. Iran nao kwa ku revenge wakakamata meri mbili za Greece kwa pamoja, wakaanza kulialia na makamasi juu na umoja wa ulaya kuomba msamaha. Mpaka leo wanaziangalia tu meri za iran zinavyo cruise kwa raha zao. Hii dunia ukiwachekea sana hao wajinga NATO na European union inakula kwako
 
Na bado, vifaru vitawasili kipigo kiendelee.

halafu hao Bangladheshi asilimia 89% ni dini ileee, lakini na wao hawana namna ila kufuata amri ya mkubwa Marekani.
Nilitaka nishangae ukose kutaja mambo ya dini,,, unateseka sana na dini ileee,,
Haleloyaaaa na mbengo zikafongoke chioni ya leo!!!
 
Asilimia 89% ya Bangladesh ni wavaa kobaz, ila lazima wafuate amri.

Halafu sijakuelewa unawacheka kwa kigezo gani maana uchumi wao ni zaidi ya mara tano wa Tanzania
Tanzania hatuwezi kununua nguo mpya iliyotengenezwa Bangladesh hizo zinasafirishwa na kuuzwa nchi za magharibi tu.

Nguo za Bangladesh tunazovaa ni mitumba tu kutoka nchi za magharibi. Ieleweke kwamba Tanzania haina kiwanda chochote kinachotengeneza nguo, nguo zote tunaagiza kutoka nje ikiwa ni pamoja na mitumba.

Lkn ktk nchi ya Bangladesh mitumba hairuhusiwi kwani hiyo nchi ni moja ya zile zinazoongoza kwa utengenezaji wa nguo duniani.

Hivi viwanda vya nguo vilivyokufa Tanzania kama Mwatex na Mutex wanavyo zaidi ya 600 halafu uwalinganishe na sisi, utakuwa umelewa moshi ya mwenge.
 
Back
Top Bottom