Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Migambo wanaruka na kukanyagana pale uwanja wa mazoezi LumumbaWatajuana wenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Migambo wanaruka na kukanyagana pale uwanja wa mazoezi LumumbaWatajuana wenyewe
Amekuza makalio tu akili ya sisimiziDogo amekua, kazi iendelee
Kwani Mzee Warioba anasemaje ??!View attachment 2874253
"Usibeze mtu kesho anaweza kuwa boss wako"
Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo Paul Makonda, leo January 16,2024 ameongea na Waandishi wa Habari katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui, Zanzibar wakati akitoa taarifa ya ziara ya kichama ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Mikoa minne ya Unguja January 17-18,2024 ambapo pamoja na mambo mengine amesema CCM huwafundisha Watu kutodharauliana.
Makonda amenukuliwa akisema “Kwenye Chama chetu sisi tunasema uvumilivu ni jambo muhimu sana na kumuheshimu Mtu kwasababu leo unaweza ukambeza Mtu kesho ukamkuta ndio Boss wako, hupaswi kuwa na Adui kwamba Mwanachama mwenzako unamnunia, wewe Mzee wangu ulitegemea kuniona Mimi nimekaa hapa kwenye kiti!?”
“CCM ndio Chama pekee Duniani kinachowafundisha Watu kutokumdharau Mtu kwasababu ametoka kwenye nafasi, ni CCM tu kwasababu inakuonesha kabisa kwamba huyu uliyemdharau leo hii kesho huwezi kujua kwahiyo hata Mimi nafundishwa waliopo nje ambao hawana nafasi kama niliyonayo napaswa kuwaheshimu kwasababu kesho wanaweza kukaa kwenye kiti kama hiki halafu nikahitaji msaada wao wa kunisemea tu ili niende kuwa sehemu fulani na nafasi fulani “
Kuhusu ziara ya Rais Samia Makonda amesema itafanyika katika Mikoa ya Kaskazini Unguja, Kusini Unguja, Mjini na Mkoa wa Magharibi “Bahati tuliyonayo anapotutembelea Mwenyekiti wa Chama ambaye ni Rais wa Nchi hata zile changamoto ambazo tulitamani Rais wa Nchi kuzitatua inakuwa nafasi nzuri ya kuzieleza”
Millard Ayo
Umeona eeh. Yeye aliwadharau watu kibao akiwa mkuu wa Mkoa na mkuu wa wilaya. Kumbukumbu ya kumdhlilisha DC Chongolo hatujaisahauNyani haoni kundule
Anajisahaulisha sanaUmeona eeh. Yeye aliwadharau watu kibao akiwa mkuu wa Mkoa na mkuu wa wilaya. Kumbukumbu ya kumdhlilisha DC Chongolo hatujaisahau
Wapo waliopo ila wakutafuta na torchWana ccm wote sioni tofauti yao ki maadili
HaswaPipa na Funiko