ndiyo kabisa, wife wake yupo mikoani, mtoto naye mikoani baba nae mikoani.....na akimaliza mwaka 2015...usishangae rizy nae kugombea urais....kisha mama nae atafuata 2025....linaashiria kuwa Urais mwaka huu ni suala la kifamilia?
ndiyo kabisa, wife wake yupo mikoani, mtoto naye mikoani baba nae mikoani.....na akimaliza mwaka 2015...usishangae rizy nae kugombea urais....kisha mama nae atafuata 2025....
Bango moja la JK liko pale nyuma ya Ocean Road hospital au kama unaelekea NIMR au kwa Mkemia Mkuu wa serikali; lina picha ya JK na mwanamke ambaye inasemekana ni mama yake mzazi, halafu lina maandishi 'upendo wa mama, chagua ccm chagua JK'.
Sasa je, nimchague JK kwa sababu anapendwa au alipendwa sana na mama yake? Hili linaashiria kuwa Urais mwaka huu ni suala la kifamilia? Je, wamelenga watanzania wa aina gani wenye umri wa kupiga kura kwa bango hilo?
mimi nachukia rangi yeyote ya kijani na njano.Afadhali yako bango moja limekukwaza mimi kichefuchefu kila bango nilionalo. kuna mabango ya
afya
wawekezaji
maabara
Hv si angejiunga na wasanii wenzake wa ze comedy
Namie nimeiona kapiga bonge ya bugaluu, nadhani alikua anawakumbushia wale washikaki wake wa zamani mapigo yake, nafikiri picha nzuri angeweka ile wakati yupo msoga anawinda mbayuwayu.
Lakini kiukwelii CCM watueleze picha hizo za mgombea moja ni madawati mangapi ya watoto wanao kaa chini mashuleni?hivi kulikua na haja ya picha za huyu bwana mkubwa kuwa nyingi kipindi hiki kuliko 2005?
Jee? mabango hayo katika Wilaya Moja hatuwezi kupata vitanda japo kumi vya wajawazito? mama zetu watazaa na kulala sakafuni mpaka lini jamani?