Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,120
Sisi hatuna pa kuweka ya kwetu barabarani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndiyo kabisa, wife wake yupo mikoani, mtoto naye mikoani baba nae mikoani.....na akimaliza mwaka 2015...usishangae rizy nae kugombea urais....kisha mama nae atafuata 2025....
KAma Rais ateteaye Nafasi yake, hakkuwa na sababu ya Mabango yote haya, Huu ni Woga Mkuu, Ukisikiliza kampeni zake Hana Point za msingi, Ki ukweli TZ Tunadanganyana sana,
Napendekeza Members humu, Kujikomboe kwa kila mmoja kutafuta familia 5 za ku share nao harakati za ukombozi, Hakika Tukipata Viongozi bora tutapiga hatua, Sadly Juzi wana clouds) wanadai waTZ tumezidi kuzungumzia uchaguzi now eti (mtangazaji) anadai now its 2much tuzungumze jingine, (mytake namuona kama asiejua alichokiongea); Wapenda maendeleo TUJITAHIDI KUHAMASISHANA na tupige Kura, Isije tukasema wameiba wakati ................................... Hatukutaka kuwa part ya mabadiliko......
Haya mabango ni tooo much, kuna moja nimelikuta A-town pale Sanawari kwenye trafic light ni kubwa na
sura yake imetoka kama vile imechakachuliwa au alizidisha mapoudaaa !!!