KAma Rais ateteaye Nafasi yake, hakkuwa na sababu ya Mabango yote haya, Huu ni Woga Mkuu, Ukisikiliza kampeni zake Hana Point za msingi, Ki ukweli TZ Tunadanganyana sana,
Napendekeza Members humu, Kujikomboe kwa kila mmoja kutafuta familia 5 za ku share nao harakati za ukombozi, Hakika Tukipata Viongozi bora tutapiga hatua, Sadly Juzi wana clouds) wanadai waTZ tumezidi kuzungumzia uchaguzi now eti (mtangazaji) anadai now its 2much tuzungumze jingine, (mytake namuona kama asiejua alichokiongea); Wapenda maendeleo TUJITAHIDI KUHAMASISHANA na tupige Kura, Isije tukasema wameiba wakati ................................... Hatukutaka kuwa part ya mabadiliko......