Kwani mhamasishaji hakuliona hili?
Alipashwa kuacha halmashauri zifanye kazi
Kila mtaa wangependekeza majina yangehakikiwa ndipo yapelekwe kwa halmashauri kwa kutumia wataalamu aka wenye Elimu ya kweli kuandika haya
Huyu aliyeandika sijui kama shule kasoma? Tenda za wahamasishaji matokeo ndio hayo
Elimu za wahamasishaji ni kiwango gani
Huwa sielewi mwenyewe huyu alisoma wapi ana Elimu gani tuanzie hapa...
Wabongo sijui nani alituroga? Neno likishakuwa na herufi zisizokuwa ya Kiswahili, basi tayari. Yaani team nzima haikuona kosa - designer, mchoraji, mwekaji hiyo alama...