Bango moja limezua utata katiko maadhimisho ya siku ya walimu Tanzania

Joined
Apr 8, 2014
Posts
60
Reaction score
18
Bango hilo lilikuwa na ujumbe uliokuwa ukilinganisha posho ya mjumbe mmoja wa bunge la katiba na mshahara wa mwalimu kwa mwezi. Bango hilo limezua mvutano kati ya walimu vijana na mwenyekiti wa chama mkoa wa Kagera kitendo kilichopelekea polisi kuingilia kati na kuzuia kuingia kwa bango hilo ndani ya uwanja wa Kaitaba ambapo maadhimisho ya siku ya Mwalimu duniani inaadhimishwa kitaifa mkoani Kagera huku mgeni rasmi akiwa ni Mizengo Pinda ambaye amekuja ghafla hku mgeni rasmi katika taarifa alikuwa ni Jakaya Mrisho Kikwete rais wa Tanzania.
 
Wanazuia sauti itokayo moyoni! Hilo bandiko tu walizuie hata hao polisi wanayo mengi mioyoni mwao.
 
Ndo shida ya kuchagua viongozi wa vyama vya kitaaluma wenye NDIMI MBILI
 
Bango hilo lilikuwa na ujumbe uliokuwa ukilinganisha posho ya mjumbe mmoja wa bunge la katiba na mshahara wa mwalimu kwa mwezi. Bango hilo limezua mvutano kati ya walimu vijana na mwenyekiti wa chama mkoa wa Kagera kitendo kilichopelekea polisi kuingilia kati na kuzuia kuingia kwa bango hilo ndani ya uwanja wa Kaitaba ambapo maadhimisho ya siku ya Mwalimu duniani inaadhimishwa kitaifa mkoani Kagera huku mgeni rasmi akiwa ni Mizengo Pinda ambaye amekuja ghafla hku mgeni rasmi katika taarifa alikuwa ni Jakaya Mrisho Kikwete rais wa Tanzania.
Honestly sikua najua kama leo ni siku ya Mwalimu duniani,walimu wenzangu mniwakilishe huko mlipo,ualim ni moja ya kazi nzuri sana hapa Tanzania ila walimu hawajaujua uzuri wake cc xiexie
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom