Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Hawa mabwana mpaka sasa wameubana mtandao wa Twitter, ila cha ajabu wao wenyewe ni watumiaji wazuri wa huu mtandao kitu ambacho kinatushangaza sana. Kama twitter ina watumiaji mnaowaona ni hatari au hawafai, kwanini basi na nyinyi mnaendelea kuutumia huo mtandao baada ya kuubana?Tuwaelewje au ndio mnatimiza ule msemo: "Baniani mbaya,kiatu chake dawa"?
Mmekosa maarifa nyie watu na hamna mnachokisimamia!
Pathetic!
Mmekosa maarifa nyie watu na hamna mnachokisimamia!
Pathetic!