Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Ccm hawajawahi kufanya maamuzi yenye kuhitaji akili nyingi
Wanamuogopa kigogo wa Twitter ila anayfikia kwa facebookHawa mabwana mpaka sasa wameubana mtandao wa Twitter, ila cha ajabu wao wenyewe ni watumiaji wazuri wa huu mtandao kitu ambacho kinatushangaza sana. Kama twitter ina watumiaji mnaowaona ni hatari au hawafai, kwanini basi na nyinyi mnaendelea kuutumia huo mtandao baada ya kuubana?Tuwaelewje au ndio mnatimiza ule msemo: "Baniani mbaya,kiatu chake dawa"?
Mmekosa maarifa nyie watu na hamna mnachokisimamia!
Pathetic!
Maneno na matendo haviachani.Fata maneno yangu, usifate vitendo vyangu
Hata walioazimisha ubongo kwa mbogamboga bado wanaweza kuingia hivyo usihofu.unatumia kifaa gani kuingia twitter?