Bank account na HELSB

Bank account na HELSB

Joined
Nov 14, 2023
Posts
71
Reaction score
53
Habari wanajamii,

Naomba kuuliza jambo kuna mtu amekutwa na changamoto, amepoteza kadi yake ya bank aliye tumia wakati wa maombi ya mkopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu kisha kwenye kusajiri akatumia kadi nyingine ambayo yanaendana majina pamoja na bank na kadi ya mwanzo.

Je haitaleta shida kwenye boom, Natanguliza shukurani kwenu
 
Muone loan officer mapema sana
 
Kupoteza kadi sio kupoteza account, boom likiwekwa kwenye account ya mwazo nenda bank
 
Atapata lakini atachelewa, kwa sababu otabidi waverify huko heslb hiyo akaunti yake mpya, mimi pia niliwahi kuwa na case hiyo... tho inaweza kuchukua mpaka wiki mbili au tatu tangu wengine wapate kwa boom la kwanza, ila halafu inakuwa kama kawaida.
 
Back
Top Bottom