Erick Richard R-Madrid
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 399
- 282
Vigezo na gharama zake ni zipi?Nenda Crdb
Hamna cost ni kianzio tuu inaweka hata 10000Vigezo na gharama zake ni zipi?
Banc abcNaomba msaada ni Bank gani naweza kufungua account na kupata Visa au Master Card siku hiyo hiyo maana na uhitaji nayo mapema sana
Msaada wenu wakuu...
Shukurani
Ziro wa kwenye gazeti alienda wapi?M-pesa au Tigo-pesa mkuu
Passportsize ni mbili mkuu..na iyo barua ya serekali za mitaa iwe na picha pia so jumla awe na passport size 3.asipokua na barua ya serekali za mitaa basi awe na barua ya utambulisho kutoka kwa muajili wake( kwa taasisi zinazofahamika tu)CRDB ndio suluhisho
Vigezo
Uwe na picha moja ya passport 2x2 background nyeupe
Kitambulisho cha Kura au pass ya kusafiria
Barua ya s/mitaa
Na kianzio 20,000 tu
Nbc is guarantee.ABC is the best.