Ghichichi
Senior Member
- Oct 13, 2012
- 191
- 206
Kwani Barclays zipo ngap, mm nimeenda leo kufungua US dollar acc wakaniagiza kwa mtendaji wa mtaa. Pia, kadi hawatoi siku hiyo, mbali na hilo makato ya mwez ni makubwaNenda Barclay's,huna haja ya kuwa na passport size,nenda na kitambulisho tu unafunguliwa account hapohapo na unapewa VISA ATM card papo hapo,na kizuri zaidi utaweza ku deposit pesa zako kupitia ATM zao,hakuna gharama za kugungua account mkuu