Mkuu mi nilienda mliman city DTB nimefungua dollar acc napewa offer ya kutuma mpaka 10000 dollar per day kwa 10 dollar tuNjia gani ina nafuu ya malipo kati ya e-checking,T/T transfer na Master card?
Banc ABC is the best.Naomba msaada ni Bank gani naweza kufungua account na kupata Visa au Master Card siku hiyo hiyo maana na uhitaji nayo mapema sana
Msaada wenu wakuu...
Shukurani
Ingia kwenye mtandao. Wanaonesha charges zao..Ningeshangaa usingeshauri FNB hahaha natania tu mkuu.
Charges zao zikoje na vipi upatikanaji wa ATM zao?
form1
Mkuu Bavaria:FNB unapata kila kitu hapohapo..
Mkuu Bavaria:
1. Kwa mfano mwananchi anaishi mkoa ambao hakuna huduma za bank ya FNB , atapataje kuwithdraw / deposit pesa pale ahitajipo?
2. Nimekuona kule kwenye uzi wa forex: Ontario akashauri kufungua account FNB lakini je unapofungua account FNB itakuwa inatumikaje pale unapotumia matumizi ya TSH na Dollar?
Kianzio bei gani?Nenda Barclay's,huna haja ya kuwa na passport size,nenda na kitambulisho tu unafunguliwa account hapohapo na unapewa VISA ATM card papo hapo,na kizuri zaidi utaweza ku deposit pesa zako kupitia ATM zao,hakuna gharama za kugungua account mkuu
Mkuu ahsante aises nimeamini kweli equity wapo njema imenichukua dak 33 tu kufanya yoote haya leo na kupata kadi VISA asante mleta uzi umenisaidia nami pia.Nenda equitybank.. You only need kitambulisho chako kama lesen, au k-cha kura, na pesa 10000 hauitaji mapicha, wala mabarua ya mwenyekiti... Hakuna monthly charges,,, withdraw charges ni 500 kwa ATM na 1000 kwa kaunta...
iringa je? washafika! nataraji kuwa kule.Unatumia ATM yeyote.
Sasa hivi wanafungua matawi mikoani..
Mkuu ahsante aises nimeamini kweli equity wapo njema imenichukua dak 33 tu kufanya yoote haya leo na kupata kadi VISA asante mleta uzi umenisaidia nami pia.
Sijui. Ingia mtandaoni.iringa je? washafika! nataraji kuwa kule.
Master Card jee hawatoi hiyooEquity bank hakuna longo longo unachohitaji ni kitambulisho rasmi tu gharama ya kadi ni Tsh 10000
Nadhani Hawana mkuuMaster Card jee hawatoi hiyoo
Mbeya mjini na nimeambiwa mbeya wana tawi moja tu lipo jirani na postatawi gani hilo? mkoa gani?
tawi gani hilo? mkoa gani?
Pamoja sana mkuuMkuu ahsante aises nimeamini kweli equity wapo njema imenichukua dak 33 tu kufanya yoote haya leo na kupata kadi VISA asante mleta uzi umenisaidia nami pia.
Safi sana mkuu, nipo njiani kuchukua nami piaEquity bank hakuna longo longo unachohitaji ni kitambulisho rasmi tu gharama ya kadi ni Tsh 10000
Mkuu kianzio ni pesa yoyote utakayokuwa nayo kikubwa tu account isiwe zero balance,karibu mkuuKianzio bei gani?
Shukurani kwa taarifa mkuuMkuu kianzio ni pesa yoyote utakayokuwa nayo kikubwa tu account isiwe zero balance,karibu mkuu