Bank gani naweza kufungua account na kupata Visa au Master Card siku hiyo hiyo

Nenda Barclay's,huna haja ya kuwa na passport size,nenda na kitambulisho tu unafunguliwa account hapohapo na unapewa VISA ATM card papo hapo,na kizuri zaidi utaweza ku deposit pesa zako kupitia ATM zao,hakuna gharama za kugungua account mkuu
Kwani Barclays zipo ngap, mm nimeenda leo kufungua US dollar acc wakaniagiza kwa mtendaji wa mtaa. Pia, kadi hawatoi siku hiyo, mbali na hilo makato ya mwez ni makubwa
 
Kwani Barclays zipo ngap, mm nimeenda leo kufungua US dollar acc wakaniagiza kwa mtendaji wa mtaa. Pia, kadi hawatoi siku hiyo, mbali na hilo makato ya mwez ni makubwa
Dollar account kidogo ina mchakato ili kuzuia wimbi la utakatishaji wa pesa za kigeni,na umeambiwa hivo coz ni wewe ni new to bank customer ila kwa existing hyo dollar account haina hizo procedures
 
Equity bank ndio suluhisho pekee, wanaenda na wakati. Hakuna mlolongo wa kubeba picha, sijui barua ya nini sijui, wao ukiwa na kitambulisho halali tu basi. Picha wanakupiga wao na unapewa VISA CARD yako siku hiyohiyo na kuanza kutumia huduma zote za online transactions. Na makato yao ni madogo ukilinganisha na bank zingine.
 
Equity wana mobile banking
 
Naomba msaada ni Bank gani naweza kufungua account na kupata Visa au Master Card siku hiyo hiyo maana na uhitaji nayo mapema sana

Msaada wenu wakuu...
Shukurani
bank nyingi wazinguzi crdb ndo wanaongoza kwa usumbufu unatumiwa cord halafu ukiingiza zinagoma akaunt inafungwa
bank nyingine ukifungua acount card mbaka usubiri miezi mitatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…