Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkubwa huko ndio kabisaaa umeingia pabaya! mm nimetoka kufunga akaunti yabgu huko recently. kama alivyosema mdau hapo juu, hiyo benki mteja akiingia unaonekana kama tatizo, weekend ndio kabisaaa ukitaka hela huwezi kupata labda ukakope kwa jirani, makato ni mengi mno, wafanyakazi wao wengi (sio wote) wana lugha mbovu sana na hawako competent. WEkeza tu kwenye miradi ndugu yangu. Anyway huu ni ushauri wangu tu!
kaka kama huna cha kuchangia usikurupukekwa tanzania haipo, nakushauri pesa zako wekeza kwenye miradi au ukishindwa chimbia ndani ya nyumba yako. benki zote bongo ni maumivu tu!
vipi kuhusu standard chartered, sijasikia maoni kuihusu? kuna yeyote mwenye experience nayo?
Hahahaha tatizo la kibubu wanaweka Chuma UleteKibubu ndiyo dawa.............mabenki makato yao makubwa sana...............banking is business....business is all about profit
KCB!! thats the only bank u need.
kwakuwa wewe ni al shabaab islamic bank itakufaa sana na hakuna mambo ya riba kule.Habari zenu wana jf
ningependa kujua bank ambayo ni nzuri kufungua kwa mwananchi wa kipato cha kawaida
kwa kuzingatia vigezo kama
-makato kwa mwezi
-kianzio cha kufungua account
-huduma bora kwa wateja
-mikopo ya riba nafuu
-kuenea kwake nchini
nawasilisha
Habari zenu wana jf
ningependa kujua bank ambayo ni nzuri kufungua kwa mwananchi wa kipato cha kawaida
kwa kuzingatia vigezo kama
-makato kwa mwezi
-kianzio cha kufungua account
-huduma bora kwa wateja
-mikopo ya riba nafuu
-kuenea kwake nchini
nawasilisha