Bank ipi ni bora for saving na makato yake ni nafuu

1.CRDB BANK PLC or
2. NMB PLC

Kulingana na sbb zako na ndio msing wa kila mwenye ufahamu ni lazima uzingatie hzo sbb kabla hujafungua account ktk bank fulan. ni matarajio yangu unazungumzia ufunguaji wa account wenye sifa za Saving account. bank hzo hapo juu zitakupa haya
1. kianzio cha TZS 20,000
2.Makato yasiozid TZS 2000 kwa mwezi
3. Zimeenea nchi nzima na ATMs kibao
4.Mikopo isiyo na masharti magum sana
5. Moderate Customer CARE at least
6. Kua mzalendo


kwa ziada visit nearby above bank branch.
 

benki nzuri ni ile ambayo mwisho wa siku hela yako iko salama. Benki za tanzania zote ni wizi mtupu. Kawaida benki zinapokea deposits za aina tatu-saving na time deposit ambazo mteja anapata faida juu yake na hakuna makato ya aina yeyote labda income tax. Tatu ni current ambayo mteja ndiye anagharimia gharama za benki. Deposit zote mteja anawezza kupata mkopo. Cha ajabu mabenki yetu kila deposit halali kwao mteja ndiye anagharimia kila kitu ambao ni wizi mtupu na uenda pesa wanazokata ndizo zinaendesha vikao white house ambako chemba zinafurika kila siku. Bot wapo lkn kwa vile ni mali ssm kimya.
 
I would recommend CRDB though they are not paying a single penny for this Advert
 
Kafungue Equity bank, elfu 10 tu kianzio hakuna makato na viambatanisho vya kufungua ni kitambulisho tu..
 
Weka hela kwenye kibubu mkuu zikiwa nyingi nenda kanunua hisa UTT mambo safi kibubu mpango mzima..
 
Mpango mzima NBC makato ya mwezi 1000 kucheki salio kwenye ATM 250 makato yakutoa pesa kwenye ATM 700
 
mkuu embu njoo tanzania postal bank bank halisi ya kitanzania makato kwa mwezi ni sh mia moja tu na kima cha chini kufungua ni elfu mbili ...ni pm nikupe full information kama utapenda
 
Equity Bank wako vizuri sana
 
Equity Bank wako vizuri sana

Belo navutiwa sana Equity ila hawana huduma yao kwenye sim yaan kwenye M pesa kama bank nyingine. Ila jana nliongea na voda kuhusiana na hio issue wanasema bado equity hawajamua kutumia hio njia ama wanaweza kuwa njian kuwa na hio huduma pia.
 
Belo navutiwa sana Equity ila hawana huduma yao kwenye sim yaan kwenye M pesa kama bank nyingine. Ila jana nliongea na voda kuhusiana na hio issue wanasema bado equity hawajamua kutumia hio njia ama wanaweza kuwa njian kuwa na hio huduma pia.

Wako njiani kuanza hiyo huduma,kumbuka Equity tangu waingie bongo sidhani kama wamefikisha miaka 3
 
Me nauliza kupata ATM Card baada ya kufungua account inachukua mda gan kwenye bank ya Equity
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…