Black Legend
Senior Member
- Jul 28, 2015
- 174
- 301
NI bank karibia zote zina huo mfumoKumekuwa na mfumo huu kandamizi wa bank nyingi Tanzania kumtoza ada ya kupitisha mkopo mteja wa bank hizo. Ukiangalia kiundani,kuandaa mkopo na kumhudumia mteja ni jukumu la bank.....mteja aishie kukatwa riba tu na sio vipengele vingine kandamizi kwa mteja.
Zile ni one time payment boss. Hata mm huwa zinanikera sababu zinaongeza gharama ya mkopo tatizo ni kuwa wakizifuta zile hii gharama uwezekano ni mkubwa mno itaamia kwenye instalment fee na kuongeza tatizo la riba unless BOT ihakikishe gharama aihami.NI bank karibia zote zina huo mfumo
Unaweza nipa m hanganuo wa hiyo "processing fee" mkuu?Hapo unachotaka ni riba ipande sababu zile ni gharama nyingine zisizohusisha muombaji mkopo kukodishiwa fedha kwa riba.
Mara nyingi ukiuliza watakwambia ni paperwork, gharama ya uhakiki dhamana, kutembelewa n.k.Unaweza nipa m hanganuo wa hiyo "processing fee" mkuu?
Sio riba ipande, bali ziondolewe. Sasa si ni jukumu la bank kumhudumia mteja....why tulipie majukumu yao katika utoaji wa huduma unayoilipia??Hapo unachotaka ni riba ipande sababu zile ni gharama nyingine zisizohusisha muombaji mkopo kukodishiwa fedha kwa riba.
Hakika ni wizi mkubwa.Kumekuwa na mfumo huu kandamizi wa bank nyingi Tanzania kumtoza ada ya kupitisha mkopo mteja wa bank hizo. Ukiangalia kiundani,kuandaa mkopo na kumhudumia mteja ni jukumu la bank.....mteja aishie kukatwa riba tu na sio vipengele vingine kandamizi kwa mteja.
BOT hua wanasimamia Mambo gani hiviKumekuwa na mfumo huu kandamizi wa bank nyingi Tanzania kumtoza ada ya kupitisha mkopo mteja wa bank hizo. Ukiangalia kiundani,kuandaa mkopo na kumhudumia mteja ni jukumu la bank.....mteja aishie kukatwa riba tu na sio vipengele vingine kandamizi kwa mteja.
Huo ni uwizi BOT sijui wanasimamia Mambo gani nchi hiiYeees ,hapa nadhani tumeelewana. Tunalipia majukumu yao ya kutoa huduma unayoilipia. Uende dukani halafu mwenye duka akutoze Hela ya kutoa bidhaa kwenye shelfu za duka......hii ndio nimeandika kuwa ni WIZI .ππΌπ‘
Mhasibu habariNi wizi sio uwizi..umewezaje kuandika processing fee ukashindwa neno wizi?
We jamaa bhana πMhasibu habari
Najiuliza sana kwanini BOT waliruhusu kitu kama hiki. Hakina logic kabisa zaidi ya wizi wa waziwaziKumekuwa na mfumo huu kandamizi wa bank nyingi Tanzania kumtoza ada ya kupitisha mkopo mteja wa bank hizo. Ukiangalia kiundani,kuandaa mkopo na kumhudumia mteja ni jukumu la bank.....mteja aishie kukatwa riba tu na sio vipengele vingine kandamizi kwa mteja.
Hawatakiwi kuzihamishia popote, ule ni wizi tu! Mimi nadhani ziliwekwa zamani sana ambapo benki ilikuwa moja tu na hapakuwa na ushindani hivyo badala ya mkopaji kuonekana mteja alionekana kama muomba huduma ndiomaana walimchaji vyote hivyo.Mara nyingi ukiuliza watakwambia ni paperwork, gharama ya uhakiki dhamana, kutembelewa n.k.
Yaani zile gharama za uhakiki kuwa unakopesheka.
Huwa sioni kama ni gharama ambazo mkopaji anatakiwa kulipia, ni sawa na uende dukani mwenye duka akucharge gharama za daftari la kuandikia mauzo yake ila sasa tatizo ni wakizifuta zinaamia wapi?
Maana hayo ni mapato kwao na tunajua yapo pale kihalali na yamekubaliwa na BOT ili mabank wasitegemee riba tu, ukifuta uwezekano ni wataziamishia kwenye riba, sasa kuliko hivyo bora zibaki hapo au BOT wawe serious na hilo haswa.