Bank kutoza "processing fee" kwenye mikopo ni uwizi mkubwa.

Bank kutoza "processing fee" kwenye mikopo ni uwizi mkubwa.

Hivi wanafunzi wa sheria wanasoma nini mashuleni huko? Maeneo ya kufanyia practice ni pamoja na kufungua kesi kama za kufuta sheria kandamizi kama hizi
Nani anagharamia ufuatiliaji wa kesi? Kama utagharamia wapo tele.
 
Ukiona unaza kuumia na hzo processing charges ktk mikopo ujue tu....hustahili huo mkopo sema basi tu,

Mikopo ya bank sio kwaajili ya kutatua matatizo yako......ile ni kwajili ya wafanyabiashara na wawekezaji wakubwa,mtu anaomba mkopo wa Mil100 na apo apo anahonga mil 1 ili kuharakishiwa huo mkopo.....
 
Back
Top Bottom