Bank kuu yamwaga Ajira kwa vijana wenye Sifa

mawazo ya kukata tamaa na story za vijiweni.kila nafasi imeshachukuliwa? hao wanaotoboa usaili huwa wanakuwa wapi?

kama una sifa kajarib bahati yaki
Ni kweli mkuu mbona mpaka sasa hatujaona mrejesho wao? Hawajatangaza chochote tena kama kuna walio itwa kwenye usahili au interview hamna
 
We mzee umezingua tu kubali.

Kila mwajiri ana criteria zake zisipo fit kwako zitafit kwa mwenzio. Hata usemeje criteria haziwez fit kwa wote
 
Mkuu ulienda shule ukasoma na kuelimika kweli? Umesoma na kuelewa nilichokiandika au unaleta cheap argument? Kwa hiyo ukiwa na GPA ya 5 uliyoipata let's say 2015 na experience ya bank ya 5 yrs ndo una qualify kuitwa kwenye interview?
Elewa mzee main target yao ilikua ni Freshiers from school. Kama inavyo kuaga wangine watasema experience ya miaka kadhaa 2,3 or whatever na gpa watasema kama watahitaji kulingana na demand yao. The vice versa is true

BoT focus yao iko ivyo so wewe apo ndo una leta cheap arguments.
 
Kuna kitu inaitwa EMS
 
Mchakato wa BOT huwa ni wa muda mrefu.Wanaweza kutangaza kazi leo interview zikafanyika baada ya miezi 6
Wee nae mbona hueleweki mara tayari wameshaanza kuita huku unasema vingine
 
Baadhi ya idara za afya walikuw contacted...au ww ni daktari hujaitwA unaleta makasiriko
Ungespecify kuliko kugeneralise makasiriko ya nini sasa kwani nakufahamu
 
Sasa ww unauliza kwa kupanik instead ya kuuliza kistaarabu ueleweshwe,utakavyouliza ndivyo utakavyojibiwa
Mkiwa mnasoma vitu vya watu muwe katika mood zinazostahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…