lachicaguapa
JF-Expert Member
- Jan 11, 2013
- 269
- 72
habari ya asubuhi,
Nahitaji ushauri:
Bank ipi ni nzuri kwa kuomba mkopo?
Yani yenye riba nzuri na iliyofast katika kutoa mikopo ya biashara? maana bank zingine kama hii ya postal bank karibu mwezi kupata!
Pili nataka kuandika loan proposal kwa ajili ya kibusiness changu, kwa waliowahi kupeleka bank za hapa Tanzania na kufanikiwa kupata, walitumia njia ipi kufanikisha?
WAKO KATIKA KUJENGA TAIFA.