bank loan proposal

bank loan proposal

lachicaguapa

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2013
Posts
269
Reaction score
72
habari ya asubuhi,
Nahitaji ushauri:
Bank ipi ni nzuri kwa kuomba mkopo?
Yani yenye riba nzuri na iliyofast katika kutoa mikopo ya biashara? maana bank zingine kama hii ya postal bank karibu mwezi kupata!
Pili nataka kuandika loan proposal kwa ajili ya kibusiness changu, kwa waliowahi kupeleka bank za hapa Tanzania na kufanikiwa kupata, walitumia njia ipi kufanikisha?

WAKO KATIKA KUJENGA TAIFA.
 
Sasa hapo umenisaidia au umeni.....lol? Mbona una nitega?
 
jaribu boa bank na access bank,ila kama proposal yako ni mambo ya investment katika kilimo au renewable energy nenda tanzania investment bank.
 
Pia kuna equity bank.kwa sasa wako dar na ars.
 
Bank ya makabwela NMB ina riba ya chini
 
nenda cba tawi la amani house kuna dada mmoja anasaidia sana watu
 
Back
Top Bottom