lachicaguapa
JF-Expert Member
- Jan 11, 2013
- 269
- 72
nenda FAIDIKA, riba 300 percent. Ukikopa 1m unarudisha 3m.
Pia kuna equity bank.kwa sasa wako dar na ars.
Equity na NMB mpango mzima
Mkuu unaonaje ukitoa figures na comparison ili kuthibitisha unalolisema?Bank ya makabwela NMB ina riba ya chini
nenda cba tawi la amani house kuna dada mmoja anasaidia sana watu
Mkuu unaonaje ukitoa figures na comparison ili kuthibitisha unalolisema?