calmdowndear
JF-Expert Member
- Jul 12, 2011
- 605
- 274
Majibu haya hapa Pakua mwenyewe Source: Tanzania Banking Survey 2013 by Serengeti AdvisersThe word Kuwa it's the best bank in Tanzania Any truth in this? What makes them special compared to the barclays, stanbics, city banks, NBC, etc?
Wapi humu? acha utani pale ukipeleka vihela vyako vimejaa gunia moja tuu unafukuzwa na kuambiwa ....toka peleka hizo takataka zako saccos hapa kuanzia magunia kumi yaliyojaa minoti ndio inatakiwaHakuna members ambao ni watumiaji wa hii benki?
mkuu una uhakika na unachoandika au unatuletea umbea wa mtaani?Wapi humu? acha utani pale ukipeleka vihela vyako vimejaa gunia moja tuu unafukuzwa na kuambiwa ....toka peleka hizo takataka zako saccos hapa kuanzia magunia kumi yaliyojaa minoti ndio inatakiwa
Nimeiona hiyo ya Serengeti
Nimeamini hii bank sio ya wafanya biashara wadogo inawezekana inafaaa Kwenye intl transfers etc
Samahani kama nitakua off-topic, sijui kuna shida gani kwenye management ya hii benki maana wafanyakazi wake wanaacha kazi sana in other news hawakai kabisa!!
Hauko off-topic mkubwa, ubora wa Benki/kampuni unahusisha vitu vingi sana na hilo la namna inavyoshughulikia wafanyakazi wake ni kigezo cha muhimu pia.
Mhh analipwa vzur sh ngap?? Weng wanaohama pale ni kwasababu ya maslahi duni koz management kubwa ni wahindi...malipo hafifu kulingana na roles za mfanyakazi...Kwa hili niwatetee kuna watu wao ni makunguru wa kuhama kutoka kazi kwenda nyingine. Nina mdogo wangu ana muda mrefu pale analipwa vizuri sana, kikubwa kwenye kazi yoyote ni uchapatakazi siyo ukunguru!!