Bank M

Bank M

calmdowndear

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2011
Posts
605
Reaction score
274
The word Kuwa it's the best bank in Tanzania

Any truth in this?

What makes them special compared to the barclays, stanbics, city banks, NBC, etc?
 
Kila bank,beer inajipa u best na award ili kulaghai wateja
 
Truth is haisikiki kabisaaaa you won't see any promos on michuzi or anywhere
 
Kuna vigezo(indicators) nyingi zinazotumika kujua perfomance ila kwa ufupi ni benki pekee ilyowahi kuuza bonds kwa hapa Tanzania.hii biashara ya kuuza bonds mara zote ni serikali pekee ndio muuzaji.
Matangazo mengi ni marketing promotions ambazo zinaingiza gharama kwenye kampuni kama mauzo(sales) sio ya kutosha

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Hakuna members ambao ni watumiaji wa hii benki?
Wapi humu? acha utani pale ukipeleka vihela vyako vimejaa gunia moja tuu unafukuzwa na kuambiwa ....toka peleka hizo takataka zako saccos hapa kuanzia magunia kumi yaliyojaa minoti ndio inatakiwa
 
Wapi humu? acha utani pale ukipeleka vihela vyako vimejaa gunia moja tuu unafukuzwa na kuambiwa ....toka peleka hizo takataka zako saccos hapa kuanzia magunia kumi yaliyojaa minoti ndio inatakiwa
mkuu una uhakika na unachoandika au unatuletea umbea wa mtaani?
 
Nimeiona hiyo ya Serengeti

Nimeamini hii bank sio ya wafanya biashara wadogo inawezekana inafaaa Kwenye intl transfers etc
 
Nimeiona hiyo ya Serengeti

Nimeamini hii bank sio ya wafanya biashara wadogo inawezekana inafaaa Kwenye intl transfers etc

hiyo ni corporate bank ambayo inahitaji wateja ambao ni makampuni makubwa au watu wenye mabiashara makubwa ambayo per day wanacheza na milion mpaka bilion mazee sio rank za kina mzee Akilimali mazee..
 
hiyo bank ndiyo inatumiwa mara nyingi kukimbiza nje pesa zote zinazovunwa hapa, miongoni mwa wengi wao wanaotumia ni INDIANS.
 
Samahani kama nitakua off-topic, sijui kuna shida gani kwenye management ya hii benki maana wafanyakazi wake wanaacha kazi sana in other news hawakai kabisa!!
 
Samahani kama nitakua off-topic, sijui kuna shida gani kwenye management ya hii benki maana wafanyakazi wake wanaacha kazi sana in other news hawakai kabisa!!

Hauko off-topic mkubwa, ubora wa Benki/kampuni unahusisha vitu vingi sana na hilo la namna inavyoshughulikia wafanyakazi wake ni kigezo cha muhimu pia.
 
Hauko off-topic mkubwa, ubora wa Benki/kampuni unahusisha vitu vingi sana na hilo la namna inavyoshughulikia wafanyakazi wake ni kigezo cha muhimu pia.

Kwa hili niwatetee kuna watu wao ni makunguru wa kuhama kutoka kazi kwenda nyingine. Nina mdogo wangu ana muda mrefu pale analipwa vizuri sana, kikubwa kwenye kazi yoyote ni uchapatakazi siyo ukunguru!!
 
Ninavyofahamu mimi kuna investment bank na commercial bank.Sasa benk M ni investment bank, ambayo ni kwa ajili ya makampuni makubwa ya uwekezaji 2 yawe ya ndani au ya nje
 
Bank M ni .Corporate Bank wanadeal na corporate customers tu ni kama Citi Bank
 
Kwa hili niwatetee kuna watu wao ni makunguru wa kuhama kutoka kazi kwenda nyingine. Nina mdogo wangu ana muda mrefu pale analipwa vizuri sana, kikubwa kwenye kazi yoyote ni uchapatakazi siyo ukunguru!!
Mhh analipwa vzur sh ngap?? Weng wanaohama pale ni kwasababu ya maslahi duni koz management kubwa ni wahindi...malipo hafifu kulingana na roles za mfanyakazi...
 
Back
Top Bottom