Bank na utowaji Wa mikopo kwa watumish

immasakha

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
489
Reaction score
281
Licha ya uhakiki wa watumish kuendelea kila cku takriban benk nyingi zilisitisha mikopo kwa watumish.
Ninachotaka kuuliza kutoka kwenu Je! Fursa ya mikopo kutoka benk za CRDB na NMB kwa watumishi wamesharusu kupokea maombi ya mikopo na kutoa?
 
Wameshaanza kutoa!!
 
Kwa ambao wameshawahi kukopa CRDB baada ya kupeleka formu za maombi wanachukua mda gan mpaka kukuingizia pesa kwenye account yako
 
Bank karibia zote sasa wanatoa mikopo kwa watumishi wa umma ni ww tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…