Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wameshaanza kutoa!!Licha ya uhakiki wa watumish kuendelea kila cku takriban benk nyingi zilisitisha mikopo kwa watumish.
Ninachotaka kuuliza kutoka kwenu Je! Fursa ya mikopo kutoka benk za CRDB na NMB kwa watumishi wamesharusu kupokea maombi ya mikopo na kutoa?
Kwa basic laki 5 unakopa sh ngapi?