Bank of Tanzania has a RESERVE of $5 Billion.

mulisaaa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
6,969
Reaction score
7,027
Hayo yamesemwa leo na Raisi Magufuli alipokuwa akikabidhiwa report na CAG.

Amedai kuwa reserve ya Bank of Tanzania imekuwa nakufikia $5 billion. Ambayo inauwezo wakuendesha nchi kwa kipindi cha miezi sita(6 month) kama ikitokea emergency yoyote.

Pia amedai pesa yakujenga striglers dam yakuzalisha MW 2,100 ipo. Pia pesa ya 700km za SGR zipo.

Pamoja nayote amedai zaidi ya mabenki 7 makubwa duniani yameshakuja yakitaka kuikopesha Tanzania kwa interest rate ya hadi chini ya 3% kwenye miradi yake mikubwa yakimaendeleo. Hii imetokana na mabenki kuona Tanzania ikisimamia miradi yake mikubwa bila mikopo.

MY TAKE: Kenya kwa sasa kweli iko na reserve au wamesha itafuna kwakulipa madeni??

Pia tutegemee mradi wa SGR kufika kila kona ya Tanzania kama ilivyo kwa barabara.

Naona kuna umuhimu wa Magufuli kuongezewa muda wakutawala Tanzania. Tumpe 20 years.

Kuangalia hayo maongezi ya JPM anzia katikati kwa mbele kidogo inapokalibia kuisha.
 
Ukijua kwamba Mark Zuckerberg wa Facebook anaweza kupoteza dola bilioni kumi wiki hii na kuzirudisha ndani ya miezi michache, due to stock market fluctuations, hapo ndipo utajua chumi zetu changa.

Hizo hela zake tu, si za Facebook.
 
Labda aongezewe muda wa kukutawala wewe na mume wako!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…