You see, hawa jamaa hakuna kitu wanasema nikawaamini moja kwa mojaEvidence inaonyesha ni 7.2 ya Kenya
Ficha ujinga wako.Once the majority wakitaka unalakusema
Kama na wabunge wakipitisha.
Unaleta utani ama? Huyu jamaa si kawa Rais juzi juzi tu hapa (2014, to be exact)? Na lini kabadili katiba kujiongezea muda?Recep Tayyip Erdoğan, Turkey.
Alikua waziri mkuu tangu 2003, akabadili katiba ili Turkey iwe inatawaliwa na executive branch. Wananchi wakampa shavu akawa rais 2014 mpaka leo anawajengeeni SGR.Unaleta utani ama? Huyu jamaa si kawa Rais juzi juzi tu hapa (2014, to be exact)? Na lini kabadili katiba kujiongezea muda?
Our currency is becoming strong. No more trading in Tanzania in terms of $ and £. Mambo ya kwenda hotelini nakuuziwa chai au kahawa kwa dollar serikali ya Tanzania imekataza. Hiyo yote nimipango yakuimarisha nakulinda currency yetuForeign reserve of central bank should also be looked in conjunction with the currency exchange rate history.
If your currency has been continuously going down and then you boast of a rising reserve then your central bank chief has not been doing his job
Anamjengea nani SGR!! Sema tume ipa kazi kampuni kutoka nchi yake na tuna ilipa kwa pesa zetu wenyewe. Kama mtu anavyo muajili house helper au accountant.Alikua waziri mkuu tangu 2003, akabadili katiba ili Turkey iwe inatawaliwa na executive branch. Wananchi wakampa shavu akawa rais 2014 mpaka leo anawajengeeni SGR.
Mwingine Putin.
Mtajie na China pia. Wamesha badili katibaRecep Tayyip Erdoğan, Turkey.
Okay tutampatia Majaliwa KassimMkuu,,mpe wewe hiyo 20 yrs,,akuongoze ww
okayAnamjengea nani SGR!! Sema tume ipa kazi kampuni kutoka nchi yake na tuna ilipa kwa pesa zetu wenyewe. Kama mtu anavyo muajili house helper au accountant.
Binafsi siitaki ccm kabisa,,mimi sio chademaOkay tutampatia Majaliwa Kassim
Alikua waziri mkuu tangu 2003, akabadili katiba ili Turkey iwe inatawaliwa na executive branch. Wananchi wakampa shavu akawa rais 2014 mpaka leo anawajengeeni SGR.
Mwingine Putin.
wewe tatizo nijina ccm. Tutakibadili jinaBinafsi siitaki ccm kabisa,,mimi sio chadema
China na RwandaSasa alikuwa PM, ndiyo sawa na kuwa Rais? Hiyo Katiba si imebadilishwa akiwa Rais tayari? Maana wakati constitutional referendum inafanyika (nakumbuka ni mwaka jana mwanzoni mwazoni tu) nilikuwa Istanbul.
Na Katiba haijabadilishwa kuongeza muda wa urais. Hiyo ndiyo hoja niliyoijibu.
Unataja Urusi, seriously? Yaani kuna nini cha kujifunza Urusi, ambako ni Moscow na St. Petersburg pekee ndiko kunatamanika. Kwengine huko ni umaskini na shida tupu.
Nitajie nchi zilizoendelea aisee, siyo hizi nchi zilizo kwenye transition. Taja nchi moja iliyoendelea kutokana na incumbent president kujiongezea muda akiwa madarakani.
Yaani nikiangalia nchi zote zilizofanya hivyo, umaskini uliokithiri ndiyo jambo ambalo linatokea kote. Uganda, Rwanda, DRC, Burundi, Cameroon, Zimbabwe, Equatorial Guinea, Congo, Sudan
Unakumbuka wakati wa 1st official trip in Africa, Obama aliwaambia viongozi wa Afrika, kwamba Afrika inahitaji strong institutions na siyo strong leaders. Ni upumbavu kufikiri ati Magufuli (out of 50+ million Tanzanians) ndiye pekee anaweza kuliongoza taifa hili. The charlie has been part of the crooked CCM and governments for 20+ years, now mnataka kutuaminisha ati anafaa. Only charlies like him wataona anafaa.
Usinipatie blah blah za mitaani, nipatie foreign exchange history kulingana na banki kuu ya TaxOur currency is becoming strong. No more trading in Tanzania in terms of $ and £. Mambo ya kwenda hotelini nakuuziwa chai au kahawa kwa dollar serikali ya Tanzania imekataza. Hiyo yote nimipango yakuimarisha nakulinda currency yetu
Usinipatie blah blah za mitaani, nipatie foreign exchange history kulingana na banki kuu ya Tax
China, imebadili Katiba juzi hapa. Na kabla ya hapo Urais wa Uchina ni kama ceremonial tu, kwani nguvu zote zipo kwa Katibu Mkuu wa CP. Ila kwa mabadiliko hayo nguvu zitaenda kwa Rais sasa. Hivyo, huu si mfano, maana mabadiliko yamefanyika sasa, na China imeshaendelea kabla ya mabadiliko. Kama unafuatilia siasa za Uchina, mabadiliko haya hayana uhusiano wowote wa ati kukaa muda mrefu ndiyo ataleta maendeleo, kama ulivyodai kwenye hoja yako ya msingi. Mabadiliko yanahusiana sana na power struggles ndani ya Uchina na majirani zake.China na Rwanda