natafuta kazi ya procurement.help me
for sure why not. or write your email address.Habari wakuu,
jamani hebu nisaidieni natafuta kazi hizo hapo juu. Nina degree.
Thanks.
for sure why not. or write your email address.
Mambo tatiana?
(Kwa degree uliyosomea inabidi ufanye kazi gani?)
Mie naona hiyo degree yako inafaa kazi za ndani, but bank! No application
thank you for your concern mjepu. Be blessed.
una uhakika kwamba ckupanga before cjaanza kusoma? Watu wengine bwanaaa!!!!
embarrassing questions zipo hata kwenye interview tatiana therefore jizoeshe kuyavumulia maswali kama hayo hata unapokuwa humu jf! Ni ushauri tu tatiana, by the way nahisi ni msuaso mwenzangu hivyo lazima tuelimishane!!!
tatiana mummie vumilia na jitahidi kuapply. Checki website ya serikali inayodeal na uajiri, nadhani ni utumishi.com wana position, wewe apply tu.
Mwenzio nimeanza kutafuta ila naombea nipate muda c mrefu, inaboa kukaa home baada ya kumaliza chuo! Mpaka natamani nipate kazi ya kufundisha primary yani. Wewe acha tu.
Keep holding on.