Bank teller/loan officer jobs

Bank teller/loan officer jobs

for sure why not. or write your email address.

namuomba mungu, bwana wa majeshi wewe kaka/dada uwe hautanii maana kama unamtania huyu dada utapa laana kubwa maana yeye yupo serious, nakuanzia sasa mawasiliano yenu yaende PM.
 
namuomba mungu, bwana wa majeshi wewe kaka/dada uwe hautanii maana kama unamtania huyu dada utapa laana kubwa maana yeye yupo serious, nakuanzia sasa mawasiliano yenu yaende pm.

thank you for your concern mjepu. Be blessed.
 
una uhakika kwamba ckupanga before cjaanza kusoma? Watu wengine bwanaaa!!!!

Embarrassing questions zipo hata kwenye interview Tatiana therefore jizoeshe kuyavumulia maswali kama hayo hata unapokuwa humu JF! Ni ushauri tu Tatiana, by the way nahisi ni MSUASO mwenzangu hivyo lazima tuelimishane!!!
 
embarrassing questions zipo hata kwenye interview tatiana therefore jizoeshe kuyavumulia maswali kama hayo hata unapokuwa humu jf! Ni ushauri tu tatiana, by the way nahisi ni msuaso mwenzangu hivyo lazima tuelimishane!!!

nasdaz,asante kwa ushauri wako ndugu nimeupokea kwa mikono miwili. Upo sawa kabisa msuaso mwenzio mm.
 
Tatiana mummie vumilia na jitahidi kuapply. checki website ya serikali inayodeal na uajiri, nadhani ni utumishi.com wana position, wewe apply tu.

Mwenzio nimeanza kutafuta ila naombea nipate muda c mrefu, inaboa kukaa home baada ya kumaliza chuo! mpaka natamani nipate kazi ya kufundisha primary yani. wewe acha tu.
keep holding on.
 
tatiana mummie vumilia na jitahidi kuapply. Checki website ya serikali inayodeal na uajiri, nadhani ni utumishi.com wana position, wewe apply tu.

Mwenzio nimeanza kutafuta ila naombea nipate muda c mrefu, inaboa kukaa home baada ya kumaliza chuo! Mpaka natamani nipate kazi ya kufundisha primary yani. Wewe acha tu.
Keep holding on.

thank you a lot dia. I will check that.
 
samahani kwa usumbufu unatafuta kazi au ulikua unaulizia mahakama ya kadhi??????
 
JOSEPH JOHN,
C/O AMINA T,
PO BOX 9182,
DAR ES SALAAM,
18 February 2011.



REF: APPLICATION FOR THE POST OF LOAN OFFICER/BANK TELLER




I am a Tanzanian Citizen aged 26 years and not married. I have completed Bachelor of Arts in Geography and Environmental studies at University of Dodoma in June 2010.

I am applying for the post of Loan Officer/Bank teller in your company. Currently I am working at Tanzania Meteorological agency (TMA) as a volunteer Dar es salaam station
I am a committed and a hard working person multidisciplinary person with great autonomy and responsible person.

It is my expectations that my request will be considered.


Yours faithfully
JOSEPH JOHN
 
wapendwa Tatiana z siriaz.so kama una any useful info mpatie na sio kumzingua.
kwa upande wangu nikipata any info nitakujuza
 
Back
Top Bottom