tatiiiiii, kazi ni nyingi, siku hizi watu wa benki hasa crdb wanachukua watu wa fani zako kama tellers maana wakichukua wahasibu hawakai. Hivyo graduates wengi wa sua utawakuta crdb na nmb. Maana wakipata hapo wanatuliaaaa. Si unajua mambo ya home economics, agriculture na nutrition hayapewi kipaumbele maana fedha za kilimo kwanza zimeliwa na rostam na jamaa zake. Hata hivo bonyeza hapa kuna kazi kibao. Ukikosa uje huku niliko tuandikage proposal tuihudumie jamii kitakachobaki twajilia sie. Ok bofya hapa
www.kazi999.blogspot.com . Niko serious. Si unajua mwanaume kwa mwanamke ni sawa na mfupa kwa fisi???? Ahahahahaa alafu mie mhaya hapa katerero kwa kwenda infront.!!