Bank tellers na "udokozi"

Dah!!Hii ilishaga wahi kunitokea aiseee!!

Niliagizwa na kaka yangu nipeleke hela CRDB BANK kwa ajili ya kuongezewa salio kwenye till ya M-PESA

Duh!!nilipewa milioni nne za elfu kumi kumi zote na nilizihakiki kabla hata sijaenda Bank

Eti kumupa tu tellar pale counter anihudumie

Kuhesabu hivi eti elfu 40 imepelea

Aiseèe niling'aka mpaka akazirudisha kwa kutoa kwenye mkoba wake coz alikuwa mwanamke,binti,msichana mrembo sana

Mpaka leo sikujuaga zile hela zilipeleaje

Ila yule dada alijitajidi kunifatiria naishi wapi na nafanya nini mpaka akajaga kujua napoishi

Muda,siku chache zilipita yule dada nikakutanaga nae disco na akaniomba nicheze nae muziki.

Alionyesha ushirikiano sana na tabasamu la ukweli muda ule.

Muda ukaisha wa disco yule dada kaniomba nimusindikize nyumbani kwake maana castle lite zilikuwa zimemukaa kunanko.

Dah!!Hata sikumbuki nini kilitokeaga ndani ya gari yake nilimugegeda vimbaya sana.

Tulivyofika nyumbani kwake kaniganda nilale sikuwa na hiyana maana si kwa papuchi tamu,ina uterezi kiasi,msitu wa amazoni kiasi(sikutumia kinga na nilipima niko salama mpaka sasa)
 
Barclays Kariakoo, teller alimpiga Bro laki 1 ktk 2m
bro wako chizi yani laki nzima ipungue kwenye bunda asishtukie...au alikuwaanatafuta kiki ya kukunyimia hela..mimi huwezi niibia ki ivo aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…