Gojaga Nize
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 2,799
- 1,809
We teller wa benki ganiWakati anazichomoa wewe ulikuwa wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We teller wa benki ganiWakati anazichomoa wewe ulikuwa wapi
Juzi nime draw 4 m...buku tano tank...nimehesabu moja moja kaunta mpaka nikaona teller amenaindi kichizi...chezea sabuni ya roho na mwili weye
Unaishi kwa bro wako,?Barclays Kariakoo, teller alimpiga Bro laki 1 ktk 2m
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Niliongozana nae kariakoo!Unaishi kwa bro wako,?
Do you think atachomoa ukiwa umemkodolea macho pale kaunta?Wakati anazichomoa wewe ulikuwa wapi
Laki moja ndani ya 2M. Akiwapiga watatu kwa siku, hakosi hela nzuri ya kuuzia nyago mjiniBarclays Kariakoo, teller alimpiga Bro laki 1 ktk 2m
Sana.Laki moja ndani ya 2M. Akiwapiga watatu kwa siku, hakosi hela nzuri ya kuuzia nyago mjini
Hiyo benki ya wakenya, sio?
bro wako chizi yani laki nzima ipungue kwenye bunda asishtukie...au alikuwaanatafuta kiki ya kukunyimia hela..mimi huwezi niibia ki ivo aiseeBarclays Kariakoo, teller alimpiga Bro laki 1 ktk 2m