Donpela
JF-Expert Member
- Jun 30, 2011
- 2,040
- 592
Nini diamond wakati Juma nature analipwa m50 kwa show
kilichonichekesha hapa sio povu lako bali ni wanajamvii walivyo ku IGNORE
LOL
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nini diamond wakati Juma nature analipwa m50 kwa show
Sikia nikwambie mkuu tunajua kuwa unampend sana diamond but usilazimishe kila mtu aungane na fikra zak kumpend mt au kumchukia hizo ni tabia za mtu mmoja mmoja, na huwez kuzizuia, mbona kuna wasanii wakubwa sana kimataifa kama michael jackson alipendwa sana but co dunia nzima kuna baadh ya wat walikuw wanamchukia pia, so sio lazma wat wte kumpend diamond pamoja na mzik wke, ndio anafanya vzur but sio lazma kupendwa na wat wote na katika mafanikio ya binadamu lazma achukiwe na watu ili aifanye kaz yak kwa bidii huku akidhan kuwa akiharb atachekwa na kubezwa na wabaya zake
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
yaani mkuu hapo pekundu utafikiri kuna mtu kakutuma upandike ili nifarijike.
sitaki kusema mengi ila umenifariji sana japo hutaelewa ninachomaanisha.
Huyu Diamond unampaga nini Kijana? katika kila thread zako naona Diamond amekutawala sana!:A S 39:Bank ya CBA yamlipa dimond
platinum milioni10!! (ambacho ndicho kiwango chake kwa kila show)kutumbuiza
kwa nusu saa katika tafrija yao usiku wa junamosi iliyopita
kaz kwenu wenye chuki zenu na wivu
nina mashaka na upeo wako, taaluma yako, uwezo wako wa kumudu pilikapilika za haya maisha, huu muda ungeutumia kujiiimarisha katika maisha yako coz inaonekana 24hrs unafatilia diamond kafanya nini, nani anamchukia nani anampenda kibaya zaidi wewe ni me. Ushauri wangu kwako kizuri mara zote chajiuza kibaya chajitembeza huna haja ya kupiga kelele kila kukicha mara kafanya hili mara lile kila mmoja anajua muziki wa bongo una kipindi chake walikuja akina juma nature, mr nice, prof jay n.k na hata kama ni matangazo kwa ajili yake toa basi yenye mantiki mfano leo diamond anaonyesho pale samakisamaki kuanzia muda xxx hadi xxx karibuni muone vitu adimu, ama diamond kafungua mfuko kuchangia watoto yatima, ungeonekana una akili kidogo sasa ww mara kalipwa m10, mara hakuna kama diamond kwa utajiri, huu ni upuuzi uliopitiliza ndo maana napata na mashaka na ww isije kuwa mr cameroon kafanikiwa katika kampeni zake teetteeehh
note... Diamond kwa sasa anafanya vyema ukilinganisha na wanamuziki wengine wa kizazi kipya ila itakuwa vyema akiporomoka pia uendelee kutupa taarifa idadi ya shows zake wapi kagongea beer n.k ahahaaa tunamuombea asimame vyema kuendelea kutoa burudani.
kweli kila mtu na IQ yake, KWELI SIJAWAHI KUWA SHABIKI WA HUYU DOGO!
watanzania ni vigumu kabisa kuwaelewa
mala mumponde diamond leo full kusifia
hamueleweki isee