Bank ya CBA wamlipa diamond ten million


yaani mkuu hapo pekundu utafikiri kuna mtu kakutuma upandike ili nifarijike.
sitaki kusema mengi ila umenifariji sana japo hutaelewa ninachomaanisha.
 
yaani mkuu hapo pekundu utafikiri kuna mtu kakutuma upandike ili nifarijike.
sitaki kusema mengi ila umenifariji sana japo hutaelewa ninachomaanisha.

Mkuu umeniacha mwenzio hebu nifungukie kidogo

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Bank ya CBA yamlipa dimond
platinum milioni10!! (ambacho ndicho kiwango chake kwa kila show)kutumbuiza
kwa nusu saa katika tafrija yao usiku wa junamosi iliyopita
kaz kwenu wenye chuki zenu na wivu
Huyu Diamond unampaga nini Kijana? katika kila thread zako naona Diamond amekutawala sana!:A S 39:
 
Nina mashaka na upeo wako, taaluma yako, uwezo wako wa kumudu pilikapilika za haya maisha, huu muda ungeutumia kujiiimarisha katika maisha yako coz inaonekana 24hrs unafatilia Diamond kafanya nini, nani anamchukia nani anampenda kibaya zaidi wewe ni ME. Ushauri wangu kwako kizuri mara zote chajiuza kibaya chajitembeza huna haja ya kupiga kelele kila kukicha mara kafanya hili mara lile kila mmoja anajua muziki wa bongo una kipindi chake walikuja akina Juma nature, Mr Nice, Prof jay n.k na hata kama ni matangazo kwa ajili yake toa basi yenye mantiki mfano Leo Diamond anaonyesho pale Samakisamaki kuanzia muda xxx hadi xxx karibuni muone vitu adimu, ama Diamond kafungua mfuko kuchangia watoto yatima, ungeonekana una akili kidogo sasa ww mara kalipwa m10, mara Hakuna kama diamond kwa utajiri, huu ni upuuzi uliopitiliza ndo maana napata na mashaka na ww isije kuwa Mr Cameroon kafanikiwa katika kampeni zake teetteeehh

Note... Diamond kwa sasa anafanya vyema ukilinganisha na wanamuziki wengine wa kizazi kipya ila itakuwa vyema akiporomoka pia uendelee kutupa taarifa idadi ya shows zake wapi kagongea beer n.k ahahaaa tunamuombea asimame vyema kuendelea kutoa burudani.
 

haporomoki
 
simpendi Diamond kwasabbau ya tabia yake mbaya tu, wala hajui kwamba maisha yana kupanda na kushuka hivi haoi wenzie akimna AY wanavyopanga mambo yao kwa akili??

mshauri dogo ajipange kuna maisha mbele ya haya
 
kweli kila mtu na IQ yake, KWELI SIJAWAHI KUWA SHABIKI WA HUYU DOGO!
 
kweli kila mtu na IQ yake, KWELI SIJAWAHI KUWA SHABIKI WA HUYU DOGO!

Tunaomshabikia IQ zetu ni kubwa na yako ni ndogo au ni vice versa?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
natamani kama nikuponde jiwe we kijana teh yani unankera na hizo thout zako za diamond kuchukiwa!!!
kwani unachopenda wewe lazma kila mtu apende????????
 
ten milion.!? Hapo ujue 7 milion Ruge kajisevia kimya kimya.!
 
ila dah!
unajua yule mchumba ulitangaza hapa na picha zake ataanza kuwa na wasiwasi na wewe!
shauri yako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…