Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,470
Naweza sema leo karibia siku 4 au 5 Bank ya NBC katika baadhi ya matawi yake system zimelala jumla kila ukienda unaambiwa system hazijaamka. Sasa sijui watu wa IT wa hii bank ni wachovu au vp mfano tawi la Kichwele jengo jipya system zimelala tokea Jmosi tr.18 July mpaka hivi sasa haziaamka tawi la Samora system zilipata kwikwi toka jana mpaka leo hii huduma hakuna.
NBC jamani vp au ndo kufulia? Watu tunamaliza sole za viatu kuja kupata huduma lakini tunaambulia neno system hazijaamka badilikeni jamani tatizo la kwikwi kwenye system yenu sasa ni sugu wanawashinda hata NMB jamani wkt kwenu mmesheni wataalam kibao.