K KITEKSORO JF-Expert Member Joined Sep 25, 2012 Posts 346 Reaction score 425 Nov 23, 2021 #1 Mimi nimekuwa mteja wa hii Bank ya NBC muda mrefu ila very soon nitasepa kama hali itaendelea hivi. Sim banking unaweza kujaribu mara kibao hufanikiwi. Saa ingine mtu una dharura , hela kwenye account unazo ila hazikusaidii. Badilikeni NBC.
Mimi nimekuwa mteja wa hii Bank ya NBC muda mrefu ila very soon nitasepa kama hali itaendelea hivi. Sim banking unaweza kujaribu mara kibao hufanikiwi. Saa ingine mtu una dharura , hela kwenye account unazo ila hazikusaidii. Badilikeni NBC.