Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona serikali hawatoi njia rahisi kwa watu kupata mitaji....... Kazi tu kupiga mikwara na kutoa onyo. Wao kama serikali wanakuja na mkakati gani ya kusaidia vijana wapate mitaji ya biashara. Wao utasikia mjiunge vikundi kisha tuwape mitaji. Nani anataka mambo ya vikundi ....?!Hiyo ni DECI tu iliyojificha kwenye mradi Wa kuku. Katika miradi kumi ya Biashara ni nusu itakuwa endelevu. Nusu nyingine wangepata hasara na wangeshindwa kumlipa Mr kuku, naye angeshindwa kuwalipa in the near future. Hata mwanzilishi itakuwa alilenga ndani ya miaka 3 angekuwa na mabilioni zaidi ya hayo na kampuni ingefungwa na watu wangekula hasara. Watanzania tunapenda njia za mkato kwenye mafanikio, nazo hazipo. Kama Finca,vicoba na nyigine zilizokuwa na muundo unaojulikan itakuwa huyo Mr Kuku na briefcase company yake ? Ni jukumu LA BOT kuangalia usalama Wa fedha za wananchi wala hakuna kosa hapo. Hujasikia beki nyingi tu kwa miaka 20 zilifungwa na BOT kwa manufaa ya wananchi walioweka humo benki husika?
We nabiii[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji134][emoji134][emoji16][emoji16]
[emoji1][emoji1][emoji1]Lazima wasubirie zijaejae kwanza [emoji4]