Mfilisi kula kwake ni kamisheni ya anachokusanya hatoi mikopo na hapati bonasi kwa kutoa mikopo. Yote kwa yote, pale anapopewa hati za nyumba, ni msala huo, wazee wa zamani waliokopa na kukimbia benki ya nyumba THB wameliza sana mayatima waliowaacha. Mfilisi anaweza kaa miaka 15 anahangaika na wewe huchomoki.