Bankers wanahitajika..

Bankers wanahitajika..

haya wakuu advert hii hapa

Team,

See below opportunities available and inform your colleagues:-

  1. Relationship Manager/Officer (Corporate Banking) – 3 positions
  2. Relationship Manager/Officer ( Institutional Banking & Public Sector) – 4 positions
  3. Relationship Manager/Officer( Regional Trade) – 2 positions
  4. Head E-banking (1 position)
  5. E Banking Officers( 4 positions)
  6. Head Retail Products(1position)
  7. Retail Assets & Liabilities(1position)
  8. Marketing and Corporate Relations (1position)
  9. Head, Banking Operations(1 position)
  10. Foreign Operations Officer(Swift)- 1 position.

Note for Sales Positions:

Experienced bankers have an added advantage, however good marketers without banking experience but meet our minimum entry requirements are also invited to apply. The below requirement are important for all applicants:-

  • 5 credits in O level including English and Mathematics ( credits refers to either ‘A', ‘B' or ‘C')-two sittings is allowed.
  • First Degree minimum of Second – Lower class( its equivalents e.g. Advanced Diploma will not be accepted)

Competitive package shall be offered to the successful candidates.

Applications to be forwarded to:-

Human Capital Management
United Bank for Africa (Tanzania) Limited
P.O. Box 80514
Dar es Salaam, Tanzania

Unaibiwa nini ndugu wakati unayotuma ni makaratasi tupu.....
 
unaibiwa nini sasa wakati utakayotuma ni makaratasi...acha upimbi ww..unafuata mkumbo tuuu....angalia advert then angalia kama kuna email address ya kutumia,nili create ile email ili kuwarahisishia watu walioko mbali na ambao hawawezi kufika kwa urahisi hapa UBA....ilikua ni msaada tu..kwa kua wadau mmemind...then UBA bank ipo opposite na kiwanda cha sigara karibia na uchumi supermarket...
 
Kama kuna mtu atahitaji bado kutumia ile email address pale juu,atume,kiroho safi nita i forward kwa HR,kama huamini kama wenzio,basi njoo mwenyewe hapa mjengoni......
 
mkuu majany, nikuulize swali.....!!!
Kwenye main post umeonesha only for e-banking, lakini kwenye advert kuna posts zingine pia! Sa' ni kwamba hizo za managers zishapata watu; au?! Anyway, mie nishatuma bwana......na nyie wengine tumeni bhana, acheni kuchonga.....hela zenyewe hamna halafu mnaogopa kuibiwa....uibiwe nini wakati choka mbaya?! Hadi sasa umemwaga CV ngapi?! Mie nishamwaga CV hadi Alaska halafu aje kuniibia Mmatumbi wa Vunjo; thubutu!!
 
mkuu hizo za Relationship managers,almost zimeshakua filled,kwenye morning meeting ya Ijumaa Hr alisisitiza tumtafutie watu wa e banking,ndio maana niliandika specifically e banking ili usipoteze muda na fedha pia kwenye kuomba nafasi ambazo huwezi kupata...kiungwana nikaona niwawekee wadau..hamna noma,nimesham forwardia kama 8 hv so far..
 
Eti mwenye shida na ajira,tangazo la kazi linatakiwa liwe public na fair kwa watu wote,mtu hawezi kuwa interested kama hajaelewa anaomba wapi na lazima ajue mazingira ya kazi anayoombea we kama vp weka tangazo linalojitosheleza acha mbwembwe.Ukishasema UBA ndo iweje? weka job responsibility tujue.

sio yote yanakua hivyo bonge........usikariri.....
 
mkuu hizo za Relationship managers,almost zimeshakua filled,kwenye morning meeting ya Ijumaa Hr alisisitiza tumtafutie watu wa e banking,ndio maana niliandika specifically e banking ili usipoteze muda na fedha pia kwenye kuomba nafasi ambazo huwezi kupata...kiungwana nikaona niwawekee wadau..hamna noma,nimesham forwardia kama 8 hv so far..

Haina ngwasi mkuu!!!!
 
hahahaaaa....... uyu nae sijui tumtupie wapi usidanganye watu hapa!!!akili fupi!!

mamee naona umepata kila kitu kwa sasa...sina akili kama ufikiriavyo...nisamehe sana kama ulikwazika,bt km unaona uko ndani ya qualification zao,wala usinitumie mimi,fika mwenyewe na upeleke CV..
 
Kwa heshima na taadhima naomba nimsaidie Majany! Sasa hivi nimepiga simu 022-2863458 na wamenieleza kuwa ni nafasi moja imechukuliwa. NASHUHUDIA kuwa ni ukweli tupu nyie akina kaka.
 
unaibiwa nini sasa wakati utakayotuma ni makaratasi...acha upimbi ww..unafuata mkumbo tuuu....angalia advert then angalia kama kuna email address ya kutumia,nili create ile email ili kuwarahisishia watu walioko mbali na ambao hawawezi kufika kwa urahisi hapa UBA....ilikua ni msaada tu..kwa kua wadau mmemind...then UBA bank ipo opposite na kiwanda cha sigara karibia na uchumi supermarket...

Mwizi maradufu ww kwann ucreate email....!???? Napenda nikufahamishe yani ww kama ni mfanyakazi na umeamua kututafuta sie makolig ulitakiwa uweke EMAIL YAKO PERSONAL na kama ni kucreate email kwa mantiki hutaki usumbufu ungetumia Majina yako ya kawaida na ungetujulisha kwamba una hii email ni ya kwangu na nimeweka kama bridge wakuu.

Please Mkuu hapo huna pa kujitetea Wenzako wale waliotoa za Barrick Goldmine tuliwakamata Dar wiki iliyopita wapo 3 na mmoja wao anajifanya yeye ni pedeshee hapa mjini daslslam na kabla ya hapo amekua akijihusisha na utapeli kwa wanawake tumesafirisha hadi Shinyanga na leo kesi yao imetajwa mahakamani. Ukiendelea na huu ujinga tutakutia nguvuni tena naomba usi reply hii post.
 
acha kuropoka..kama hauna kazi na unapiga kelele utasubiri daima,kwan ukíi2ma hyo Cv umeibiwa nini?
 
Mwizi maradufu ww kwann ucreate email....!???? Napenda nikufahamishe yani ww kama ni mfanyakazi na umeamua kututafuta sie makolig ulitakiwa uweke EMAIL YAKO PERSONAL na kama ni kucreate email kwa mantiki hutaki usumbufu ungetumia Majina yako ya kawaida na ungetujulisha kwamba una hii email ni ya kwangu na nimeweka kama bridge wakuu.

Please Mkuu hapo huna pa kujitetea Wenzako wale waliotoa za Barrick Goldmine tuliwakamata Dar wiki iliyopita wapo 3 na mmoja wao anajifanya yeye ni pedeshee hapa mjini daslslam na kabla ya hapo amekua akijihusisha na utapeli kwa wanawake tumesafirisha hadi Shinyanga na leo kesi yao imetajwa mahakamani. Ukiendelea na huu ujinga tutakutia nguvuni tena naomba usi reply hii post.

sihitaji hata kumi yako....kama umeona vigezo vimekutupa nje kaa kimya ili waliokua serious shuleni wachukue kazi..pimbi..wewe....umeombwa utoe kipi???povu lukuki
 
Haya mambo ya ajira bana watu wana hasira kama mbogo aisee,ukipost kaz inabid kujipanga la sivyo utaambulia matusi tu
 
Back
Top Bottom