Ummayed
JF-Expert Member
- May 21, 2019
- 6,155
- 2,580
We unajielewa kweli wewe??Kwn hyo familia wanaishi peke yao...tena kijijini aisee..mnavyotusifia mna vyakula
Hao watoto baba yao anaumwa na mama yao,wameshindwa zitumia resources zilizopo because hao ni wadogo.
Hukuona mbuzi pemben wamelala nao??
Asa utaweza mwambia mtoto mdogo achinje mbuzi ataweza??
Tatizo la Kenya njaaa ipo in nature ila wale tabu imewakuta hawakuweza tumia resources vema ilhali wadogo.