Banki Kuu yaanika ukuaji wa Tanzania kuwa 5.2% kinyume na takwimu za serikali

Billionaire mmoja na wengine maskini...
Nairobi pekeake iko na millionaires wengi kuliko tanzania yote
 
Your premise is GDP fluctuates as currency value fluctuates relative to the dollar. Now just yesterday the Kenyan shilling depreciated by 0.05% to the dollar, according to your logic, today the Kenyan GDP has contracted by 0.05% due to this depreciation. That my friend is pure economic hogwash.
 
Billionaire mmoja na wengine maskini...
Nairobi pekeake iko na millionaires wengi kuliko tanzania yote

Go feed your hungry people first: your talking to a nation that can't complain of hunger yooo, having that much money means business is profitable, same same people who say tz is having hardiship in doing business as per current news he is worth almost $2B while in Kenya while that $1B still is a dream for them, and yet sources say Kenya has an ease in Doing business, be patient my good friend , we have just heard the Kenya curency was hidding its true value, a lot more are waiting to be revealed
 
Tumeshaskia kuhusu currency yenu tunasubiri mengi zaidi
 
Let me even simplify further.
1)Lets assume IMF are correct on 17.5% over valuation
2)Lets take one component in the GDP=C+I+G+(X−M) equation in this case " I " or simply investment in infrastructure
3)For simplicity sake lets reduce I to the dollar value of building Kimwarer dam at ksh 20bn. The payment was made on July 1st 2018 when kes was trading at 100 to the dollar. So kenya used 20bn kes to buy $20m usd and pay the contractor instead of using 23.5bn kes (17.5% + true value)
4) 23.5bn - 20bn is the over valuation that will also refleclect on the GDP calculation at the end of the year

Simply any component of GDP is captured when it occured and woe unto you if you capture it in a fake exchange rate inflated for political reasons..
The ignorant will still bash imf's 17.5% figure
To make matters worse, Kimwarer dam was captured as GDP growth in 2018, and money was spent but on the ground there is nothing..All was stolen
 
Watanzani wanajielewa bro, sio kila kitu kinacholetwa kinapita ivi, sio kama Kenya they don't have to reason kama kinachosemwa ni kwel ama
Mkiambiwa currency yenu strong,nyie mnafuata,mkiambiwa its 30% less valuable na nyie ivo ivo mnafuata, tz government wanareason kwanza izi info unaitwa state house unaeleza umetoa WAP taarifa na unatoa majib sahihi kwa wananchi
 
Though amnot a historian but I think tz played a big part kuwasaaidia kupata independence, with other nations too: and today mmerudi kwenye mind colonialism,
 
KWANZA KITENDO CHA HABARI YAKO KUSEMA TZ NI NCHI YA TATU KTK EAC KIUCHUMI IMENIFANYA NISIIAMIN ILHALI TZ NI MSHINDAN WA KENYA.
PILI KWANN MATAJIR WAKUBWA EAC AND CENTRAL EA WANATOKEA TZ.??
Mshindani gani huyu ambaye ameachwa nyuma kwa upungufu wa 40% ndugu yangu?. Mbona Mexico iliwahi kuwa na tajiri mkubwa duniani (Carlos Slim Helu) lakini bado uchumi wake huwezi kulinganishwa na Marekani? Mbona Nigeria wana tajiri mkubwa Afrika lakini waNigeria ndio hao wanakimbilia huko kuapata kazi na maisha bora? Hii hoja yako ni upuzi mtupu.
 

Nigeria hawana tajiri mmoja ama wawili bro alafu nigeria ndo the biggest economy in Africa , it has much billionaires and rich people than even south Africa , na ndio wamekaa as the biggest economy in Africa , sasa nyie ata billionaire mmoja hamna lakini kelele kama mmeshikilia Africa bana, ndo maaana tunawaambia time will tell alot Tayar currency yenu imeshajulikana ni 30% over valued tunasubiria mengi kutoka IMF just relax,
 
Ukiangalia vizuri IMF n WB wanamkomoa JPM kwa sababu ya Acacia issue!
 
Yes and the value of the currency determines the dollar value of GDP(Since GDP is quoted in $$).
So if you manupulate the shilling upward, it will reflect in a 17.5% GDP overvaluation..Sit down and have that sink in
Ona huyu mjinga manipulating that comment to suit his preferred diabolical views .Jamaa amesema vizuri the shilling is NOT MANIPULATED BY GOK lakini wewe umeweka chumvi pale . Jinga kabisa wewe.
 
As per this report Tanzania is The third largest economy in East Africa. I would like to know who is the First and Second Largest economy in East Africa
 
Naona umeanza kulia lia..aina haja ya kuwa na billionaire mmoja halafu wengine wote ni maskini...

Kenya ina millionaires wengi hta kuliko nchi zote za east africa...

Hyo billionaire mmoja ina maana hko hamna competition ya maana...ndio manake kampuni kubwa kubwa ni za hao waarabu na wahindi..mliobaki nyinyi ni wavivu...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]billionaire mmoja +kundi la wavivu=ldc
 
Acha uongo.. umetumwa?

Kwa taarifa yako hii ni taarifa rasmi na imetangazwa na BBC.

 
I am not bitter in any way, just here for the emotional roller coaster ride Tanzanians are experiencing now that your government has been caught pants down lying about verifiable figures, just as a lot of your compatriots get caught on this forum.
Naisikitia sana nchi ya gu asically ni a true definition ya maskini jeuri, hata ukisoma humu arguments zao ni extremely shallow, the truth iko mitaani biashara zinakufa, watoto hawapati kazi wala mikopo ya shule, lakini tumebaki mdomo mdomo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…