Ummayed
JF-Expert Member
- May 21, 2019
- 6,155
- 2,580
Mkuu atakaekujibu mchawi.
Kusema kweli tangia nianze kuskia kenya ndo nchi yenye uchumi mkubwa East and centrak africa mpaka leo sjawahi elewa huo uchumi unaongelewa unatokea wap: naona tu wamejazana uku Arusha na magari yao wakiungana na warwanda, wa burundi na watu wa zambia na tunaishi nao wote vizuri wengine wameoana na wana familia, sasa sjajua kwann wanaacha uchumi mkubwa nchini kwao wanakuja kwetu, na cha ajab zaidi tajiri mkubwa east and central Africa anatokea Tanzania na wala sio kwenye hio nchi yenye uchumi mkubwa: nchi zingine unakuta uchumi unaendana na wananchi, USA mabilionea wako wengi sana, china ndo uspime na ndo nchi zenye uchumi mkubwa duniani lakini kwa kenya naona tu video kama izi
tuambieni hio nguvu yenu ya uchumi inatokea wapi: wanaume wa nairobi wanajuana kwann wanaachika na wanawake wao: wenzenu wanajiita uchumi mkubwa ukiangalia wananchi nao wana hela nzito, take a look at USA, CHINA, INDIA bila kusema ripoti zmechakachuliwa unaona kabisa wananchi wana hela ambayo sio ya kwaida: so far the only Billionaire anatokea Tz wa east africa: this is real money sio ela za kupika: