Banki sio rafiki kwa Mfanyakazi/mtu wa kipato Kidogo

ze farmer

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
922
Reaction score
1,804
Wasalamu wakuu.
Baada ya hawa jamaa wa benki kuja kutoa semina hapa lindoni kwetu wakanishawishi kweli kweli kupata mkopo wa Kujenga.
Sasa last week nikawaibukia ofisini kwao nikawaambia nataka 40,000,000 nirudishe kwa miaka 20 kama walivosema wao.
Leo nikapigiwa simu kuwa niende nikasaini tayari process zishafanyika. Nilipofika kusoma nikaona kama nimechoka naomba nichukue nikasome taratibu kisha nitarejesha.
Hesabu iko hivi.
Mkopo: 40,000,000.
Riba: 18% (annually)
Monthly payment: 617,325.00
Hapa ukipiga hesabu for 20 year nitalipa
617,325.00 * 12 * 20= 148,158,000/=
Yaani almost 4 times ya hela nilokopa.
Nimeamua kuchoma huu mkataba nimempigia afisa mikopo kuwa sitoweza kusaini aendelee na shughuli zake.
Hapa ndo naelewa wale wanaonunua tofali kila mwezi kuweka kwenye kiwanja.
Bank hamnipati tena.
 
Mimi nataka nikakope 100,000,000 ili ninunue kagari ka kutembelea. Sijui watanipa
 
kuna mzee wangu mmoja nilimuambia "ukienda kukopa benki milioni 10 alafu ukarudisha milioni 15 ni sawa sawa na wewe unashida alafu ukaenda benki ukawapa hizo milioni 5 bureee kabisa bila wao kutumia nguvu yeyote ile

kwa sababu ile riba yao ni sawa sawa na wewe umewapa hiyo pesa bureee bila wao kutumia nguvu.

kama unaweza kulipa milioni 5 ndani ya mwaka si ungedunduliza na kutunza taratibu tu pesa yako mpaka ifike milipni 5 kwa mwaka then unakuwa umeepuka kuwapa benk pesa ya bure (riba)
 
Ile ni business mkuu lazima waangalie faida,.
mkuu benk sio watu wazuri kabisa.

na woote wanaokopesha kwa riba sio watu wazuri.

ni sawa na mtu anashida anakukopa alfu kumi alafu wewe unamuambia "nipe elfu tano hapo"

ndo sawa na mambo ya riba.
iwa sisi kajamba nani daah tunaumia hasa n makopo ya riba
 
kuna mzee wangu mmoja nilimuambia "ukienda kukopa benki milioni 10 alafu ukarudisha milioni 15 ni sawa sawa na wewe unashida alafu ukaenda benki ukawaa hizo milioni 5 bureee kabisa bila wao kutumia nguvu yeyote ile

kwa sababu ile riba yao ni sawa sawa na wewe umewapa hiyo pesa bureee bila wao kutumia nguvu.

kama unaweza kulipa milioni 5 ndani ya mwaka si ungedunduliza na kutunza taratibu tu pesa yako mpaka ifike milipni 5 kwa mwaka then unakuwa umeepuka kuwapa benk pesa ya bure (riba)
Hapa yafaa sasa tujifunze saving
 
mkuu benk sio watu wazuri kabisa.

na woote wanaokopesha kwa riba sio watu wazuri.

ni sawa na mtu anashida anakukopa alfu kumi alafu wewe unamuambia "nipe elfu tano hapo"

ndo sawa na mambo ya riba.
iwa sisi kajamba nani daah tunaumia hasa n makopo ya riba
Shida mbaya sana aisee,unaweza jikuta hata kile kidogo ulichonacho cha ngama unakipoteza hivihivi,.
 
Sijawahi kuona alie kopa akafanikiwa siku ya mwisho lazima ile kwake tu,hakuna jambo zuri kama ukisave mwenyewe
sasa hilo linakua sio tatizo la bank, hilo ni tatizo lako. unakopa hela halafu unaenda kununua simu mpya na furnitures. au unaanzisha biashara kimihemuko bila kuwa na business plan!! lazma uwaone bank wabaya.
 
Pamoja na kua benki ipo kutengeneza faida,baada ya miaka 20 thamani ya nyumba ya millioni 40,itabaki millioni hiyo hiyo 40?

Back
Top Bottom